Siha Njema

Fahamu Chanzo na Athari ya Mimba za Utotoni

Sauti 10:50
Mimba za Utotoni
Mimba za Utotoni

Tatatizo la Ndoa na mimba za utotoni limekuwa likiongezeka kila mwaka na kutajwa kusababisha umaskini mkubwa katika familia na mataifa mengi katika bara la Africa.Lakini Vile Vile tatizo hili la mimba za Utotoni limekuwa likichangia vifo vya mabinti wengi katika jamii zetu . Siha Njema kwa Jumaa hili kinagazia juu ya Chanzo na Athari za Mimba za Utotoni