Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Fahamu Juu ya Reporti ya UN ya Namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

Imechapishwa:

Suala la Mabadiliko ya tabia nchi limekuwa ni miongoni mwa ajenda kuu za Umoja wa Mataifa na jumuiya ya kimataifa kwa mwaka 2014, Katibu Mkuu Ban Ki- Moon amekuwa mstari wa mbele kupigia upatu suala hili na kuratibu mkutano uliowaleta pamoja viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho inagazia juu ya Reporti ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa juu namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi pamoja na kuelezea mikakati inayofanyika katika kukabiliana na janga hilo

Hali ya Ukame kutokana na Mabadiliko ya Tabia Nchi
Hali ya Ukame kutokana na Mabadiliko ya Tabia Nchi REUTERS/China Daily
Vipindi vingine