Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Fahamu Mwaka 2016 Kuvunja Rekodi ya kuwa Mwaka wenye Joto Zaidi

Imechapishwa:

Kwa mujibu wa ripoti ya WMO imeainisha hali ya joto kidunia imeongezeka mara dufu mwaka 2015/2016 kutokana na dunia kukumbwa na kipindi cha El Nino, El Nino ni hali ya kuongezeka kwa joto kwenye mstari wa Ikweta katika bahari ya Pacific, kipindi ambacho kinakadiriwa kuwa hujirudia kila baada ya miaka 5, hali hii ilianza kushuhudiwa katikati ya mwaka huu. Zaidi ya hali ya joto kidunia, viashiria vingine vya mabadiliko ya tabia nchi pia vilionesha kufikia kiwango cha juu, limeonya shirika hili.Kipindi hiki cha Mazingira Leo kwa jumaa hili kitangazia juu ya Chanzo na Athari za ongezeko hilo la Joto kwa Dunia 

Quand la dune menace les cultures...
Quand la dune menace les cultures... (Sayouba Traoré/RFI)
Vipindi vingine
 • Image carrée
  16/05/2023 09:34
 • Image carrée
  13/05/2023 10:02
 • Image carrée
  01/05/2023 10:00
 • Image carrée
  19/04/2023 09:52
 • Image carrée
  03/04/2023 09:56