Siha Njema

Fahamu Juu ya tatizo la Moyo Kwa Watoto

Sauti 09:21
Watoto wengi husubuliwa na tatizo la moyo hivi Karibuni
Watoto wengi husubuliwa na tatizo la moyo hivi Karibuni ®L'école à l'hôpital

Takwimu mbali mbali zikiwemo za WHO zinaonesha kuwa watoto wengi hufariki kabla ya mwaka mmoja kwa ugonjwa wa moyo bila kugundulika na kupatiwa matibabu ya haraka.Na tunaelezwa kuwa matatizo ya kuzaliwa ya moyo hutokea katika watoto wanne hadi 9 katika kila vichanga 1,000 vinavyozaliwaBasi katika sehemu yetu ya Pili ya Makala ya siha Njema juma hili tunangazia juu ya tatizo la moyo kwa watoto