Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Fahamu Faida za Biashara Rafiki Wa Mazingira

Imechapishwa:

Hakika msikilizaji wetu utakubaliana naami ya Kwamba Pale popote duniani, uchumi wa wananchi na taifa huimarika kutokana na kushamiri kwa biashara. Iwe inafanywa na sekta binafsi au taasisi.Basi kupitia kipindi cha Mazingira leo,Dunia yako kesho kwa juma hili ingazia juu ya Faida za Biashara Rafiki wa Mazingira katika Utunzaji wa Mazingira yetu katika Nchi zetu za Afrika Mashariki na Kati

Mfanya bishara akifanya Biashara katika Mazingira Safi na Salama
Mfanya bishara akifanya Biashara katika Mazingira Safi na Salama CC/Wikimedia