Siha Njema

Ugonjwa wa kipindupindu watishia afya za wakazi Mashariki mwa DRCongo

Sauti 10:40
Shirika la afya la kimataifa WHO limeshtushwa na vifo vinavyotokana na ugonjwa wa kipindupindu
Shirika la afya la kimataifa WHO limeshtushwa na vifo vinavyotokana na ugonjwa wa kipindupindu 网络照片

Makala ya Siha njema inaangazia ugonjwa wa kipindupindu uliopiga nchini DRC hivi karibuni na kuathiri idadi kubwa ya wakazi.Waziri wa afya jimboni kivu kaskazini na daktari mtafiti wanaangazia namna jami hiyo inavyokabiliana na maradhi hayo.