Afya ya akili mahali pa kazi

Sauti 09:44
WHO inaangazia afya ya akili mahali pa kazi
WHO inaangazia afya ya akili mahali pa kazi RFIHausa/Umaymah

Umoja wa mataifa unaadhimisha siku ya afya ya akili chini ya kauli mbiu afya ya akili mahali pa kazi.Nini wajibu wa muajiri na muajiriwa kuhakikisha tatizo la afya ya akili haliwapati kazini?