Siha Njema

Fahamu kuhusu Homa ya Dengue

Sauti 09:06
Wataalamu wameshauri jamii kutumia vyandarua wakati wa kulala
Wataalamu wameshauri jamii kutumia vyandarua wakati wa kulala ®WorlVision.org

Karibu kujifunza kuhusu homa ya Dengue ambayo   dalili zake ni homa ya ghafla, kuumwa kichwa, maumivu ya viungo na uchovu ...kufahamu mengi zaidi tegea sikio..