Pata taarifa kuu
Siha Njema

Fahamu tatizo la Autism au usonji na namna ya kukabiliana nalo

Sauti 09:49
Jamii imekuwa ikiwaficha na kushindwa kuwasaidia watu wenye tatizo la usinji
Jamii imekuwa ikiwaficha na kushindwa kuwasaidia watu wenye tatizo la usinji Deuxminutes pour mieux vivre l'autisme

Makala ya siha njema juma hili inaangazia usonji,kitaalamu Autism ambapo shuhuda Lucy Ruhasha mtanzania anasimulia namna alivyogundua tatizo hilo kwa mwanae wa kwanza na kukabiliana nalo...

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.