Siha Njema

Fahamu kuhusu lishe bora kwa watoto

Sauti 09:45
Lishe bora kwa watoto husaidi aukuaji mzuri na kuwakinga na maradhi
Lishe bora kwa watoto husaidi aukuaji mzuri na kuwakinga na maradhi

Karibu kuangazia umuhimu wa lishe bora kwa watoto,wataalamu wa afya kutoka jijini Dar es salaam wanaangazia maana ya lishe na kwa vipi jamii inaweza kuwapatia watoto ili kusaidia ukuaji mzuri..