Siha Njema

Maziwa ya mama ni kinga kwa afya ya mtoto

Sauti 10:17
Unyonyeshaji wa maziwa ya mama humpatia mtoto kinga ya mwili
Unyonyeshaji wa maziwa ya mama humpatia mtoto kinga ya mwili

Leo makala ya siha njema inaangazia umuhimu wa unyonyeshaji maziwa ya mama baada ya kugundulika kuwa wanawake wengi hawatilii maanani suala hilo..