Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Serikali ya Tanzania yawafunga tembo vifaa maalum

Sauti 10:24
Tembo karibu na sehemu ya maji nchini Tchad
Tembo karibu na sehemu ya maji nchini Tchad Getty Images/Westend61

Katika makala haya hii leo tunaangazia hatua ya serikali ya Tanzania  kuwafunga Tembo vifaa maalum kwa ajili ya kufuatilia mienendo yao ili kuweza kuwaratibu.