Siha Njema

Ripoti ya shirika la afya duniani yaonya kuhusu ongezeko la visa vya saratani

Sauti 10:06
saratani ya shingo ya kizazi
saratani ya shingo ya kizazi scientificanimations.com CC BY-SA 4.0

Ripoti ya Shirika la afya duniani WHO kuhusu ongezeko la visa vipya vya saratani na vifo. Sabina Mpelo ameakuandalia makala hii kwa kuzungumza na watu mbalimbali akiwemo Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu