CUBA

Chama cha kikoministi nchini Cuba chakubali mapendekezo ya mabadilko

Raul Castro (G) na Jorge Luis Tapia Fonseca, katibu mkuu wa chama cha kikoministi nchini Cuba
Raul Castro (G) na Jorge Luis Tapia Fonseca, katibu mkuu wa chama cha kikoministi nchini Cuba Reuters/Enrique De La Osa

Wabunge wa Cuba,wameunga mkono mapendekezo ya rais Raul Castro ya kutaka kufanya mabadiliko yanayolenga kuinua uchumi wa taifa hilo ambao umeonekana kuyumbayumba.

Matangazo ya kibiashara

Baadhi ya mapendekezo hayo ni pamoja na serikali kuanzisha biashara ndogondogo mapendekezo ambayo tayari yameungwa mkono na chama tawala cha Kikomunisti kama njiamojawapo ya kuinua uchumi wa taifa hilo.

Rais Castro pia, amependekeza kufanyiwa mabadiliko kuhusu sheria za uhamiaji, ambazo huenda zikaanza kutumiwa nchini humo.