Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Shambulio la septemba 11

Sauti 19:26

Mtazamo kwa yaliojiri, tunaagazia kuhusu tukio la septemba 11 huko Marekani wakati Amerika inaadhimisha mika 10 tangu kutokea kwa shambulio hilo. Ambatana nasi