Habari RFI-Ki

Maseneta Marekani waridhia kushambuliwa kwa Syria

Sauti 09:35
REUTERS

Hivi karibuni maseneta wa Marekani waliidhinisha pendekezo la Marekani kuishambulia Syria kutokana na matumizi ya silaha za kemikali. Makala ya Habari Rafiki leo hii itaangazia hali ya mambo nchini Syria huku jumuiya ya kimataifa ikiendelea na harakatika za kusaka amani nchini humo.