Habari RFI-Ki

Kumbukumbu ya miaka 12 ya tukio la September 11 nchini Marekani

Sauti 10:10
Reuters

Mtangazaji wa makala hii, hii leo ameangazia siku ambayo inaadhimishwa na dunia na taifa la Marekani kukumbuka shambulio la september 11 ambapo jengi la kibiashara la kimataifa la WTO liliangushwa kwa kutumia ndege na wapiganaji wa mtandao wa kigaidi duniani wa Al-Qaeda.