Habari RFI-Ki

Mikasa ya kibaguzi ya rangi kwenye karne ya 21.

Sauti 10:01
Wakazi wa Louisiana, nchini Marekani wakiaandamana kulaani kuuwawa kwa raia wawili weusi nchini Mule.
Wakazi wa Louisiana, nchini Marekani wakiaandamana kulaani kuuwawa kwa raia wawili weusi nchini Mule. Mark Wallheiser/Getty Images/AFP

Hali tete yaibuka nchini Marekani baada ya polisi wa kizungu nchini mule kuuwa kwa risasi wanaume wawili weusi, hilo kupelekea watu kuandamana na watu wengine weusi kuuwa polisi watano na kujeruhi wengine. Sikiliza maoni ya watu mbali mbali juu ya mikasa hii ambazo zinaonekana kama za kizamani lakini zinatokea sasa kwenye karne ya 21.