Jua Haki Zako

Ubaguzi wa rangi nchini Marekani

Sauti 09:31
Raia wa ngozi nyeusi wakiandamana na kupambana na polisi wa kizungu nchini Marekani.
Raia wa ngozi nyeusi wakiandamana na kupambana na polisi wa kizungu nchini Marekani. REUTERS/Jim Young

Ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Marekani kupitia ubaguzi wa rangi bado ni suala tete nchini mule. Hususan polisi wa kizungu wakizidi kuwanyanyapaa raia wa ngozi nyeusi.