Changu Chako, Chako Changu

Historia ya Michezo ya Olimpiki

Sauti 20:16
Rio de Janeiro itakuwa jiji la Brazili ambapo michezo ya Olimpiki 2016 itafanyika.
Rio de Janeiro itakuwa jiji la Brazili ambapo michezo ya Olimpiki 2016 itafanyika. REUTERS/Ricardo Moraes

Fuatilia historia ya michezo ya Olimpiki pamoja na harakati za kujikomboa dhidi ya ubaguzi wa rangi na ule wa kikabila kupitia michezo hiyo.