Habari RFI-Ki

Wagombea urais wa Marekani wachuana ana kwa ana katika mdahalo wa kwanza

Sauti 10:26
Wagombea wa Urais nchini Marekani Donald Trump na Hillary Clinton
Wagombea wa Urais nchini Marekani Donald Trump na Hillary Clinton REUTERS

Katika makala haya utasikia maoni ya wasikilizaji kuhusu mdahalo wa kwanza wa wagombea urasi nchini Marekani Donald Trump wa chama cha Republican na Hillary Clinton wa chama cha Democrats, karibu.