Habari RFI-Ki

Mdahalo wa pili wa wagombea urais Marekani

Sauti 10:35
Wagombea urais Hillary Clinton na  Donald Trump,katika ukumbi wa chuo kikuu cha Washington huko St. Louis, mahali ulikofanyika  mdahalo wa pili wa urais.
Wagombea urais Hillary Clinton na Donald Trump,katika ukumbi wa chuo kikuu cha Washington huko St. Louis, mahali ulikofanyika mdahalo wa pili wa urais. REUTERS/Shannon Stapleton

Katika makala haya msikilizaji utasikia mitazamo mbalimbali kuhusu sera na hoja za wagombea wa urais nchini Marekani kuhusu masuala yaliyoibuka katika mdahalo huo kama vile wakimbizi wa Syria, udhalilishaji wa wanawake na waislam kuingia marekani.Karibu.