Uchaguzi wa Marekani
Vyama vya Democratic na Republican viliwateuwa wagombea wao baada ya kura za mchujo zilizoendeshwa kabla ya Hillary Clinton kutoka chama cha Democratic na Donald Trump wa chama cha Republican kushiriki mdahalo na kuanza kutupiana vijembe, kila mmoja akiona kuwa ndiye anafaa kwa kuliongoza taifa la Marekani.