Habari RFI-Ki

Rais Obama kuwaaga rasmi Wamarekani leo

Sauti 10:46
Rais wa Marekani anayemaliza muda wake Barack Obama
Rais wa Marekani anayemaliza muda wake Barack Obama REUTERS/Kevin Lamarque

Katika makala haya leo, utasikia maoni ya wasikilizaji wetu kuhusu utawala wa rais Obama ambaye anatarajiwa kuwaaga rasmi  wamarekani katika hotuba atakayo itoa leo mjini Chicago, ungana nasi usikie mengi