Habari RFI-Ki

Matarajio ya waafrika kuhusu uongozi wa rais mpya wa Marekani Donald Trump

Imechapishwa:

Donald Trump ameapishwa kuwa rais wa 45 wa Marekani. Leo hii katika Makala haya tunasikia kutoka kwa raia wa bara Afrika kuhusu matarajio yao kuhusu uongozi wa Trump kwa muda miaka minne ijayo.

Rais  Donald Trump akiapishwa kuwa rais wa Marekani
Rais Donald Trump akiapishwa kuwa rais wa Marekani REUTERS/Kevin Lamarque