Mjadala wa Wiki

Mzozo wa kisiasa nchini Venezuela

Imechapishwa:

Venezuela imejikuta katika mzozo wa kisiasa na kiuchumi, kiongozi wa upinzani  Juan Guaido amejiapisha kuwa rais, huku kiongozi wa nchi hiyo Nicolas Maduro akitishia kumchukulia hatua kali. Tunajadili hili kwa kina.

Rais wa Venezuela Nicolas Maduro
Rais wa Venezuela Nicolas Maduro Fuente: Reuters.
Vipindi vingine