Taarifa maalum kuhusu Uchaguzi wa urais Marekani 2020

Mdahalo wa kwanza wa wagombea urais nchini Marekani, Donald Trump (kushoto) na Joe Biden, Septemba 29, 2020 huko Cleveland, Ohio.
Imehaririwa: 02/11/2020 - 17:08

Kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais nchini Marekani kimeisogeza ukingoni kabisa nchi hiyo inayokabiliwa na janga kubwa la maambukizi ya virusi vya Corona. Wagombea katika uchaguzi huo ni rais anayemaliza muda wake kutoka chama cha Republican Donald Trump na mgombea wa chama cha Democratic Joe Biden.