MAREKANI

Marekani kusaidia nchi kadhaa chanjo ya Corona, EU yaishitaki AstraZeneca

Kauli hii ya Marekani imekuja baada ya kushtumiwa kuhifadhi chanjo za ziada wakati huu mataifa mbalimbali dunia yakishuhudia uhaba wa chanjo.

Katika jela kuu ya Mpimba inayopatikana kusini mwa mji wa Bujumbura kumeachilwa huru wafungwa 944 pakiwemo wanawake 23. Raisi wa Jamhuri ya Burundi, Evariste Ndayishimiye ameongoza sherehe za kuwaachilia huru wafungwa hao waliopewa msamaha. Na katika hutba yake ametupilia mbali madai kuwa kuna wafungwa wa siasa.  

Snip 1 Rais Ndayishimiye

«Anaedai kuwa ni mfungwa wa kisiasa, anitumie barua, na anipe ufafanuzi wa madai yake ili nichunguze sheria inasemaje, iwapo ni siasa au makosa aliyoyafanya. Watu wanaambatanisha mambo. Mwanachama akimjeruhi mtu, kwa sababu ni mkereketwa wa chama fulani, utamsikia mku wa chama hicho akibaini kuwa mufuasi wake ametiwa ndani kutokana na sababu za kisiasa. Siasa gani ? Alitiwa jela kwa tuhuma ya kumjeruhi mtu ».

Script end

Licha ya hayo wakiilishi wa mashirika yanayotetea haki za binadamu nchini Burundi waishio uhamishoni kufuatia mzozo wa mwaka 2015, wanazidi kuomba wafungwa wa kisiasa wasamehewe. Baadhi ya wafungwa hao unakutana wanakabiliwa na tuhuma ya kuyumbisha usalama wa nchi, na msamaha huo wa Rais wa Jamhuri ya Burundi hauwahusu wafungwa hao.
Kauli hii ya Marekani imekuja baada ya kushtumiwa kuhifadhi chanjo za ziada wakati huu mataifa mbalimbali dunia yakishuhudia uhaba wa chanjo. Katika jela kuu ya Mpimba inayopatikana kusini mwa mji wa Bujumbura kumeachilwa huru wafungwa 944 pakiwemo wanawake 23. Raisi wa Jamhuri ya Burundi, Evariste Ndayishimiye ameongoza sherehe za kuwaachilia huru wafungwa hao waliopewa msamaha. Na katika hutba yake ametupilia mbali madai kuwa kuna wafungwa wa siasa. Snip 1 Rais Ndayishimiye «Anaedai kuwa ni mfungwa wa kisiasa, anitumie barua, na anipe ufafanuzi wa madai yake ili nichunguze sheria inasemaje, iwapo ni siasa au makosa aliyoyafanya. Watu wanaambatanisha mambo. Mwanachama akimjeruhi mtu, kwa sababu ni mkereketwa wa chama fulani, utamsikia mku wa chama hicho akibaini kuwa mufuasi wake ametiwa ndani kutokana na sababu za kisiasa. Siasa gani ? Alitiwa jela kwa tuhuma ya kumjeruhi mtu ». Script end Licha ya hayo wakiilishi wa mashirika yanayotetea haki za binadamu nchini Burundi waishio uhamishoni kufuatia mzozo wa mwaka 2015, wanazidi kuomba wafungwa wa kisiasa wasamehewe. Baadhi ya wafungwa hao unakutana wanakabiliwa na tuhuma ya kuyumbisha usalama wa nchi, na msamaha huo wa Rais wa Jamhuri ya Burundi hauwahusu wafungwa hao. JUSTIN TALLIS AFP/File

Marekani inapanga kusambaza dozi Milioni 60 za chanjo aina ya AstraZeneca kwa mataifa yenye uhitaji mkubwa duniani, katika mapambano dhidi ya janga la Covid-19.Hili limethibitishwa na msemaji wa Ikulu Jen Psaki.

Matangazo ya kibiashara

Kauli hii ya Marekani imekuja baada ya kushtumiwa kuhifadhi chanjo za ziada wakati huu mataifa mbalimbali dunia yakishuhudia uhaba wa chanjo.

Hayo yanajiri wakatiHalmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya, imesema kwamba imeanzisha mchakato wa kisheria dhidi ya kampuni ya AstraZeneca kwa kushindwa kuheshimu makubaliano ya kusambaza chajo dhidi ya virusi vya Corona na kukosa mpango wa kuaminika wa kuhakikisha mgawo huo unafanyika kwa muda uliopangwa.

Msemaji wa halmashuri hiyo Stefan De Keersmaecker amesema walianza mchakato huo Ijumaa iliyopita. Amewaambia waandishi habari mjini Brussels kwamba wanataka kuhakikisha dozi hizo zinasambazwa kwa kiwango walichokubaliana na AstraZeneca na kama walivyoahidi kwenye mkataba. Amesema mataifa yote 27 ya umoja huo yameunga mkono hatua hiyo.

Katika hatua nyingine Marekani imesema inaungana na mataifa mengine ya dunia kuisaidia India, ambayo imeendelea kushuhudia maambukizi makubwa ya Corona na kwa sasa inakabiliwa na uhaba wa mitungi ye gesi aina ya Oksijeni kuwasaidia wagonjwa.