burma

Hali ya hatari yatangazwa katika jimbo la Rakhine nchini Burma

polisi wa burma Myanmar
polisi wa burma Myanmar Reuters

Rais wa Burma Thein Sein, ametangaza hali ya hatari katika jimbo la Rakhine Magharibia mwa nchi hiyo baada ya jimbo hilo kukumbwa na visa vya ukosefu wa usalama. Watu saba wameuawa katika jimbo hilo baada ya mapigano kuzuka kati ya wafuasi wa Budhaa na Kiislamu.

Matangazo ya kibiashara

Makabaliano yalianza kushudiwa katika jimbo hilo baada ya kuawa kwa mwanamke wa Kibudha mwezi uliopita,na baad aye kutokea kwa shambulizi katika basi lililokuwa limewabeba waumini wa kiislamu.

Serikali sasa inasema jeshi limechukau uthibiti wa jimbo hilo la Rakhine kuhakiksiha kuwa usalama unarejea,makabaliano ambayo yamekasgiwa vikali na Marekani ambayo iko katika mstari wa mbele kuisadia mymnar kurejea katika misingi ya demokarsaia ya kuheshimu haki za binadamu.

Kwa kipindi kirefui nchini humo visa vya tiofauzti za kidini vimekuwa vikiripoitiwa suala ambalo linatishia usalama wa nchi hiyo.