BURMA

Burma: Aung San Suu Kyi atuhumiwa kuvujisha siri za serikali

Wahamiaji kutoka Burma waandamana dhidi ya mamlaka ya kijeshi nchini Myanmar wanashikilia picha za kiongozi wa zamani Aung San Suu Kyi, Bangkok, Thailand, Machi 28, 2021.
Wahamiaji kutoka Burma waandamana dhidi ya mamlaka ya kijeshi nchini Myanmar wanashikilia picha za kiongozi wa zamani Aung San Suu Kyi, Bangkok, Thailand, Machi 28, 2021. REUTERS - JORGE SILVA

Kiongozi wa zamani wa Burma (Myanmar) Aung San Suu Kyi ameshtakiwa leo Alhamisi kwa kukiuka sheria ya siri ya serikali ya enzi za ukoloni, mashtaka mazito dhidi yake hadi sasa, wakili wake amesema.

Matangazo ya kibiashara

Wakili·mwingine,·hapo·awali␣·aliliambia·shirika·la·habari·la·REUTERS·kwamba·Reuters·mapema·kwamba·kiongozi·huyo·hajawekewa·mashtaka·mapya·baada·ya·kufikishwa·mahakamani·leo.¶

Lakini·wakili·wake·mkuu,·Khin·Maung·Zaw,·ameliambia·shirika·la·habari·la·REUTERS·kwa·simu·kwamba·Aung·San·Suu·Kyi,·mawaziri·wake·wa·zamani·watatu·na·mshauri·wa·masuala·wa·uchumi·wa·Australia·walishtakiwa·wiki·moja·iliyopita·kwa·kuvujisha·Siri·ya·serikali.¶

Washtakiwa·wanakabiliwa·na·kifungo·cha·hadi·miaka·14·gerezani·ikiwa·watapatikana·na·hatia·ya·uhaini.¶

Ukandamizaji·wa·maandamano·umesababisha·vifo·vya·watu·wasiopungua·538·tangu·miezi·miwili·iliyopita,·kulingana·na·shirika·la·haki·za·binadamu.¶