KOMBE LA DUNIA BRAZIL 2014
Wasifu wa Timu ya Taifa ya Bosnia and Herzegovina
Imechapishwa:
Timu ya taifa ya Bosnia and HerzegovinaInashiriki kwa mara ya kwanza katika michuano hiii na inaorodheshwa ya 25 duniani.
Matangazo ya kibiashara
Wachezaji wa kuangaliwa
Washambulizi Edin Dzeko na Vedad Ibisevic, Viungo wa kati Miralem Pjanic and Zvjezdan Misimovic, Beki Emir Spahic na Kipa Asmir Begovic. Hawa ni wachezaji chipukizi ambao wanafanya vizuri katika ligi za soka barani Ulaya.
Kocha mkuu
Safet Susic – Raia wa Bosnia na aliwahi pia kuchea soka nchini humo amekuwa kocha tangu mwaka 2009.
Wachezaji waliovuma
Vahid Halilhodic, Hasan Salihamidzic, Safet Susic