KOMBE LA DUNIA BRAZIL 2014

Wasifu wa timu ya Taifa ya Ecuador

Timu ya taifa ya Ecuador
Timu ya taifa ya Ecuador fifa.com

Timu ya taifa ya Ecuador Imeshriki kombe la dunia mara 2 mwaka 2002 na 2006, haijawahi kushinda taji lolote na ni ya 28 duniani katika orodha ya FIFA.Mwaka 2006 walikuwa wa pili katika kundi lao na kufika katika hatua ya robo fainali.

Matangazo ya kibiashara

Wachezaji wa kuangaliwa

Wachezaji wa pembeni ni pamoja na Antonio Valencia, Christian Noboa, mashambulizi Felipe Caicedo na Jefferson Montero.

Edison Mendez, Walter Ayovi na Segundo Castill ambao pia wanacheza soka katika vlabu vya Ulaya wataleta ushindani ndani ya timu hiyo ya taifa.

Kocha mkuu

Reinaldo Rueda mzaliwa wa Colombia.

Aliteuliwa kuwa kocha wa Ecuador mwaka 2010 na aliwahi pia kuifunza timu ya taifa ya Colombia na Honduras.

Wachezaji waliofuvuma

Ulises de la Cruz, Agustin Delgado, Jose Francisco Cevallos