KOMBE LA DUNIA BRAZIL 2014

Wasifu wa Timu ya Taifa ya Nigeria

Wachezaji wa timu ya taifa ya Nigeria wakishangilia na kocha wao, Steven Keshi
Wachezaji wa timu ya taifa ya Nigeria wakishangilia na kocha wao, Steven Keshi fifa.com

Timu ya taifa ya NigeriaSuper Eagles ya Nigeria imefuzu katika kombe la dunia mara 4 mwaka, 1994, 1998, 2002 na 2010.Ni mmoja wa mwakilishi kutoka barani Afrika na haijawahi kushinda taji hilo.Nigeria ni ya 45 katika orodha ya shirikisho la soka .

Matangazo ya kibiashara

Wachezaji wa kuangaliwa.

John Obi Mikel anayecheza soka ya kulipwa latika klabu ya Chelsea, kipa mwenye uzoefu mkubwa Vincent Enyeama.

Wengine ni pamoja na Victor Moses, Ahmed Musa na Emmanuel Emenike.

Kocha mkuu

Stephen Keshi mchezaji wa zamani wa Nigeria ambaye amekuwa kocha tangu mwaka 2011 na amewahi opia kuwa kocha wa Togo na Mali.

Keshi ni kocha wa pili barani Afrika kuiongoza Nigeria kushinda kombe la matufa bingwa barani Afrika akiwa mchezaji wa zamani wa timu hiyo mwaka 2013 nchini Afrika Kusini.

Wachezaji waliovuma

Jay Jay Okocha, Nwankwo Kanu, Rashidi Yekini.