KOMBE LA DUNIA BRAZIL 2014

Wasifu wa Timu ya Taifa ya Marekani

Kikosi cha timu ya taifa ya Marekani
Kikosi cha timu ya taifa ya Marekani fifa.com

Timu ya taifa ya Marekani.Imeshiriki mara 9, mwaka 1930, 1934, 1950, 1990, 1994, 1998, 2002, 2006 na 2010 haijawahi kunyakua taji lolote na ni ya 13 duniani.Mwaka 1930 walifika katika hatua ya nusu fainali.2002 ikafika katika hatuia ya robi fainali.

Matangazo ya kibiashara

Wachezaji wa kuangaliwa.

Jozy Altidore, anayeichezea Sunderland ya Uingereza, Landon Donovan, Clint Dempsey, Michael Bradley na kipa Tim Howard.

Kocha mkuu

Jurgen Klinsmann- Raia wa Ujerumani na wakati mmoja aliichezea nchi yake.

Amekuwa kocha tangu mwaka 2011.

Kati ya mwaka 2004-2006 aliifunza Ujerumani na baadaye kuifunza klabu ya Bayern Munich kati ya mwaka 2008 na 2009.

 

Wachezaji waliovuma.

John Harkes, Claudio Reyna na Brian McBride