KOMBE LA DUNIA BRAZIL 2014

Wasifu wa Timu ya Taifa ya Ureno

Kikosi cha timu ya taifa ya Ureno
Kikosi cha timu ya taifa ya Ureno fifa.com

Timu ya taifa ya Ureno.Imeshiriki mara 5, 1966, 1986, 2002, 2006 na 2010 haijawahi kushinda kombe la dunia na ni ya tatu duniani kwa mujibu wa orodha ya FIFA.Mwaka 2006 walifika katika hatua ya robo fanaili huko nchini Ujerumani lakini wakabanduliwa nje na Ufaransa.

Matangazo ya kibiashara

Wachezaji wa kuangaliwa.

Cristiano Ronaldo ambaye anachezea klabu ya Real Madrid na ana uzoefu mkubwa katika sola la Ulaya .

Wachezaji wengine ni pamoja na Pepe na Bruno Alves mabeki ambao watakuwa wanasaidiwa na Joao Pereira na Fabio Coentrao pamoja na kiungo wa kati Joao Moutinho ambaye atakuwa nasaidia kutoa pasi kwa mshambulizi Christiano Ronaldo.

Kocha mkuu

Paulo Bento-Mchezaji wa zamani wa Ureno na amekuwa usukani tangu mwaka 2010.

Wachezaji waliovuma.

Eusebio, Coluna, Simoes, Jose Augusto, Torres, Jaime Graca, Rui Costa na Luis Figo.