Ugiriki

Waziri mkuu wa Ugiriki aiomba Ujerumani kuunga mkono juhudi zake za kupambana na mtikisiko wa kiuchumi

Waziri mkuu wa Ugiriki George Papandreou
Waziri mkuu wa Ugiriki George Papandreou REUTERS/Tobias Schwarz

Waziri Mkuu wa Ugiriki, George Papandreou yuko nchini Ujerumani katika ziara ya kuiomba serikali hiyo kuunga mkono juhudi zake za kupamabana na hali ngumu ya kiuchumi nchini mwake, na kuwashishi wafanyibisahsra nchini humo kuisaidia Ugiriki kujikwamua kutokanana hali ngumu inayokumbana nayo kwa sasa.

Matangazo ya kibiashara

Papandreou amesema kuwa ,kusaidiwa kifedha na Ujerumani hakutakuwa ni kuwekeza kwa uongozi uliopita bali ni kuekeza kwa wananchi wa Ugirki,watakaonuifaika katika siku zijazo,na kuongeza kuwa taifa lake si masikini bali kinachotokea sasa na uongozi mbaya katika siku zilizopita,huku akisema kuwa hali itarudi kama kawaida kama wananchi wenyewe wa Ugirki, wanavyotarajia.

GEORGE PAPANDREUA 27.9. 2011

 

 

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel, amesema kuwa taifa lake litaisadia Ugiriki wakaati huu mgumu.

Wawili hjaop wanakutana kuzunguzmia kwa undani hali deni hilo la Ugiriki.
Naye rais wa Marekani Barrack Obama, anasema kuwa kinachoendlea katika bara la Ulaya na nchini Ugiriki,kinatishia uchumi wa dunia na ki cha kuogofya sana.

BARRACK OBAMA 27.9. 2011