Israeli-Palestina
Israeli yajiandaa kuwaachia huru wafungwa 477 wa kipalestina
Israel inajiandaa kuwaachilia huru, wafungwa wa Kipalestina 477 katika harakati za kubadilishana na mwanajeshi wao Gilad Shalit ambaye amekuwa akizuiliwa na mamlaka ya Palestina tangu mwaka 2006.
Imechapishwa:
Matangazo ya kibiashara
Isreal na kundi la Hamas waliafikiana kuhusu mpango huo wiki liyopita na kesho Jumanne kundi la kwanza la wafugwa wa Kipalestina wanatarajiwa kuachiliwa huru.
Hata hivyo baada ya familia kutoka Israel zilipoteza wapendwa wao katika wakati wa vita kati ya majeshi ya Isreal na Palestina wamekuwa wamekwenda mahakamani kupinga zoezi hilo la kuwaachia huru wapelestina 1.027.