Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Majeshi ya NATO yakamilisha operesheni zake nchini Libya

Sauti 20:38
Raia wa Libya wakishangilia ushindi
Raia wa Libya wakishangilia ushindi REUTERS/Ismail Zitouny

Majeshi ya NATO yatangaza kumaliza operesheni yake ya kijeshi nchini Libya kufuatia kuuawa kwa aliyekuwa kiongozi wa taifa hilo,kanali Moamar Gadafi.