Uchaguzi wa rais nchini Ufaransa
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 09:44
Habari Rafiki leo tunazungumzia kuhusu duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais nchini Ufaransa, hasa kushindwa kwa rais alie mamlakani Nicolas Sarkozy katika uchaguzi huo, ikiwa ni mara ya kwanza kutokea nchini humo katika karne hii tuliomo