OSLO-NORWAY

Mtu asiyefahamika amrushia kiatu mtuhumiwa wa mauaji ya Oslo, Anders Breivik wakati kesi ikiendelea

O assassino norueguês Anders Breivik durante seu julgamento no tribunal de Oslo, nesta quinta-feira.
O assassino norueguês Anders Breivik durante seu julgamento no tribunal de Oslo, nesta quinta-feira. REUTERS/Heiko Junge/NTB Scanpix/Pool

Kesi ya mauaji inayomkabili raia wa Norway Anders Behring Breivik imeendelea tena hii leo na kushuhudiwa ikilazimika kusimama kwa muda baada ya kutokea tafrani ndani ya mahakama.

Matangazo ya kibiashara

Kesi hiyo ililazimika kusimama kwa muda baada ya mtu mmoja anayedaiwa kuwa alipoteza mdogo wake kwenye mauaji yaliyofanywa na Breivik kumrushia kiatu mtuhumiwa huyo huku akipiga kelele kumwita ni muuaji.

Watu walioshuhudia tukio hilo wamesema kuwa wakati upande wa mashtaka ukiendelea kuwahoji mashahidi kwenye kesi hiyo, mtu huyo alisimama ghafla na kurusha kiatu hicho ambacho hata hivyo hakikuweza kumpata Breivik.

Katika tukio lililoonekana kuvuta hisia za watu wengi, watu waliokuwa ndani ya ukumbi wa mahakama walionekana wakipiga makofi kutokana na kitendo ambacho kimefanywa na kijana huyo wakisema ni muuaji.

Jaji anayesikiliza kesi hiyo aliamuru kusimama kwa muda kwa kesi hiyo na kuamuru polisi kumtoa nje kijana huyo na kuonya watu wengine wenye nia ya kufanya hivyo kuwa watachukuliwa hatua za kisheria.

 

"You killed my brother! Go to hell!" the relative screamed in the courtroom.

The shoe missed Breivik, hitting his defence lawyer.

Breivik, 33, admits killing 69 people at a youth summer camp on Utoeya island and eight in a bomb attack in Oslo on 22 July 2011. But he denies criminal responsibility.
Emotional outburst

The shoe-throwing incident on Friday brought spontaneous applause from members of the public in the courtroom.
Continue reading the main story
“Start Quote

If someone wants to throw something at me, do it at me while I'm entering or leaving, and not at my lawyer”

End Quote Anders Behring Breivik

The relative of the victim - who was not identified - was later led out of the room by the security staff. Some reports say he is from Iraq.