Habari RFI-Ki

Dunia yaadhimisha siku ya kupambana na dawa za kulevya

Sauti 10:12
RFI

Juni 26 ya kila mwaka Dunia hukumbuka siku ya kupambana na dawa za kulevya lengo liukiwa ni kutokomeza kabisa matumizi ya dawa hizo ambazo zinaleta athari mbaya kwa vijana na hivyo kupunguza nguvu kazi ambayo ni muhimu kwa maendeleo ya kiuchumi. Makala haya ya Habari Rafiki leo hii itajikita kuangalia kwa kina suala hilo.