Benki ya Dunia yatoa ripoti ya uchumi wa Dunia

Sauti 09:06

Benki ya Dunia, WB hivi karibuni ilitoa ripoti ya ukuaji wa uchumi wa Dunia na kuangazia maeneo mbalimbali. Leo hii makala ya Gurudumu la Uchumi itamulika kwa kina kuhusu ripoti hiyo na masuala kadhaa yaliyoibuliwa.