ZIMBABWE

Mugabe apongeza wapinzani kwa kufanya kampeni kwa utulivu huko Zimbabwe

REUTERS/Philimon Bulawayo

Zikiwa zimesali saa kadhaa kabla ya wananchi wa Zimbabwe kupiga kura katika uchaguzi mkuu, Rais Robert Mugabe amelihutubia Taifa huku akiwashukuru wananchi na vyama vya upinzani kwa kufanya kampeni safi wakati huu upinzani ukilalama kuhusu kufanyiwa hujuma.Kwa taarifa zaidi sikiliza ripoti ya Emmanuel Richard Makundi.............