KENYA-ICC

Naibu rais wa Kenya William Ruto awasili jijini Hague kuendelea kusikiliza kesi inayo mkabili kwenye mahakama ya kimataifa ya ICC

Naibu wa rais wa Kenya William samoei Ruto ameondoka leo nchini humo na kueleka MJINI Hague nchini Uholanzi, tayari kwa kuendelea kusikilizwa hapo kesho kwa kesi ya uhalifu dhidi ya binadamu inayomkabili katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ya ICC.Mwanahabari wetu Paulo Silva ana mengi kutoka jijini Nairobi.

Naibu rais wa Kenya William Ruto na mawakili wake
Naibu rais wa Kenya William Ruto na mawakili wake