KENYA-ICC-RUTO-SAN'G

Ofisi ya muendesha mashataka mkuu wa ICC yapata pigo jipya baada ya mashahidi wengine wanne kujiondowa kwenye kesi dhidi ya naibu rais wa Kenya William Ruto

Ofisi ya muendesha mashataka mkuu wa mahakama ya uhalifu wa kivita ya ICC ilipo jijini Hague imepata pigo jingine baada ya mashahidi wanne zaidi kujiondoa kutoka kesi dhidi ya naibu rais wa Kenya William Ruto.Hatuwa hii inajiri wakati Ruto akijiandaa kurejea mjini Hague nchini Uholanzi hii leo kwa ajili ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi dhidi yake hapo kesho, siku nne baada ya kusitishwa kwa kesi hiyo kufuatia kuchelewa kwa mashahidi. Mengi zaidi ni katika ripoti ya Paulo Silva kutoka jijini Nairobi

Naibu rais wa Kenya, William Ruto
Naibu rais wa Kenya, William Ruto Reuters