Mjadala wa Wiki

Mzozo wa Syria

Imechapishwa:

Makala ya Mjadala wa wiki juma hili tunajadili kuhusu mvutano unaendelea kwenye kwenye baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Syria. Wataalamu wa Umoja huo tayari wamewasilisha ripoti kuhusu matumizi ya silaha za kemikali

A man, affected by what activists say is nerve gas, breathes through an oxygen mask in the Damascus suburbs of Jesreen in this August 21, 2013 file photo.
A man, affected by what activists say is nerve gas, breathes through an oxygen mask in the Damascus suburbs of Jesreen in this August 21, 2013 file photo. REUTERS/Ammar Dar/Files
Vipindi vingine