Habari RFI-Ki

HABARI RAFIKI

Sauti 09:43

Katika makala haya hii leo tunajadili kuhusu kauli ya rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma kulitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kufanya mageuzi katika baraza hilo, Edmond Lwangi Cheli ndiye anaye ongoza majadiliano haya, karibu