Habari RFI-Ki

Hukumu ya wanahabari Misri yautamausha ulimwengu

Sauti 09:46
Waandishi wa Habari wa kituo cha Aljazeera wahukumiwa kwenda jela miaka 7 nchini Misri
Waandishi wa Habari wa kituo cha Aljazeera wahukumiwa kwenda jela miaka 7 nchini Misri REUTERS/Asmaa Waguih

Juma hili limeanzwa kwa habari za kutamausha ulimwengu hususan katika sekta ya habari baada ya waandishi wa habari wa kituo cha Al jazeera kuhukumiwa kifungo cha miaka 7 jela baada ya kukutwa na hatia ya kutoa habari za uongo na kushirikiana na kundi la kigaidi la Muslim Brotherhood.Wasikilizaji wana yapi?