Habari RFI-Ki

Dunia yamkumbuka Mandela katika siku yake ya kuzaliwa

Sauti 09:44
Cyril Ramaphosa na Nelson Mandela wakiwapungia wananchiKatiba mpya ya Afrika Kusini, Desemba 10, 1996.
Cyril Ramaphosa na Nelson Mandela wakiwapungia wananchiKatiba mpya ya Afrika Kusini, Desemba 10, 1996. AFP/ ADIL BRADLOW

Hii leo kwa mujibu wa Umoja wa mataifa ni siku maalum ya kumuenzi muasisi wa taifa la Afrika ya kusini aliyepata sifa lukuki ulimwenguni,ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwake,inatokea kwa mara ya kwanza akiwa ni marehemu,huandhimishwa kwa watu kufanya shughuli za kijamii za kujitolea,..wasikilizaji wanayapi ya kuzungumza juu ya siku hii?