Muziki Ijumaa

Vilio na Simanzi vyatawala baada ya kifo cha Papa Wemba

Sauti 12:21
halaiki ya watu waliojitokeza kuuga muili wa Papa Wemba Bungeni
halaiki ya watu waliojitokeza kuuga muili wa Papa Wemba Bungeni JUNIOR KANNAH / AFP

Vilio na simanzi vyatawala kote duniani kufuatia kifo cha ghafla cha Nguli wa Muziki wa Rumba mfalme wa mavazi Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba aliedondoka akiwa jukwaani wakati akitumbwiza huko nchini Cote d'Ivoire